Maana 1
Kunyunyiza maji, unga, au kitu kingine kidogo kidogo juu ya kitu kingine.
Mfano wa matumizi: Alirasha maji juu ya maua ili yasinyauke.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.