randaranda

0

1. Tembea huku na huko ukionyesha majivuno.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alirandaranda mbele ya umati.

2. Fika au tembea mahali mara nyingi.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alirandaranda maktabani kutafuta kitabu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →