rambaza

0

1. Vua kwa mshipi kutoka katika chombo kinachosonga.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Wavuvi walirambaza samaki asubuhi.

2. Tafuta taarifa kwa kupitia kurasa za mtandaoni.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Wanafunzi walirambaza tovuti za elimu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →