raketi

0

Kifaa chenye mpini na fremu iliyovambwa nyuzi cha kupigia mpira wa tenisi.

Nomino
Mfano wa matumizi Mchezaji aliinua raketi kuurudisha mpira.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →