1. Mkuu wa nchi yenye mfumo wa jamhuri.
Nomino
Mfano wa matumizi
Rais alilihutubia taifa.
2. Kiongozi aliyechaguliwa kusimamia asasi.
Nomino
Mfano wa matumizi
Chama kilimchagua rais mpya.
1. President; the head of a republic.
Nomino
Example
The president addressed the nation.
2. President; an elected head of an organization.
Nomino
Example
The association elected a new president.
1. Président; chef d'une république.
Nomino
Exemple
Le président s'est adressé à la nation.
2. Président; dirigeant élu d'un organisme.
Nomino
Exemple
L'association a élu un nouveau président.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi