rafu

0

1. Ubao au sehemu ya kabati ya kupanga vitu.

Nomino
Mfano wa matumizi Vitabu vimepangwa kwenye rafu.

2. Tendo linalokiuka kanuni za mchezo au shughuli fulani.

Nomino
Mfano wa matumizi Mwamuzi alisimamisha mchezo kwa rafu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →