Bila kuvaa nguo mwilini.
Kielezi
Mfano wa matumizi
Mtoto alikimbia rabakitana baada ya kuoga.
Naked; without clothes on the body.
Kielezi
Example
The child ran naked after bathing.
Nu; sans vêtements sur le corps.
Kielezi
Exemple
L'enfant a couru nu après son bain.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi