Maana 1
Mahali palipo upande au kando ya kitu kingine; siyo sehemu ya katikati.
Mfano wa matumizi: Watoto walikuwa wakicheza pembezoni mwa barabara.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.