Maana 1
Kuruhusu kitu kipite, kufanyika, au kutendeka bila kizuizi.
Mfano wa matumizi: Walimu walipasisha wanafunzi waliofaulu mtihani.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.