Maana 1
Kuwa na idadi, kiasi, au kiwango kikubwa zaidi kuliko kilivyokuwepo awali.
Mfano wa matumizi: Bei ya bidhaa zimeanza ongezeka kutokana na mabadiliko ya soko.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.