1. Kuwa wazi na kuweza kutambuliwa.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mlima ulionekana baada ya mawingu kutawanyika.
2. Toa dalili kuwa jambo fulani lipo au litatokea.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Inaonekana mvua itanyesha.
1. Be visible; be clear or apparent.
Kitenzi
Example
The mountain became visible after the clouds dispersed.
2. Seem; show signs that something is the case.
Kitenzi
Example
It looks as though it will rain.
1. Être visible; être manifeste ou apparent.
Kitenzi
Exemple
La montagne est devenue visible après la dissipation des nuages.
2. Sembler; présenter des indices d'un état ou d'un événement.
Kitenzi
Exemple
Il semble qu'il va pleuvoir.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi