omeka

0

1. Pachika kitu kimoja juu ya kingine.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Fundi aliomeka pambo juu ya kifuniko.

2. Jaza chombo huku ukigandamiza yaliyomo.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Aliomeka majani ndani ya gunia.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →