ogopa

0

1. Hisi hofu kwa jambo au mtu.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Msafiri aliogopa kuvuka mto uliofurika.

2. Watii wenye mamlaka kwa kuwaheshimu.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Aliwafundisha watoto kumwogopa Mungu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →