Maana 1
Kitu, jambo, au mtu anayefanana sana na mwingine au na asili yake; mfano wa kitu kingine.
Mfano wa matumizi: Mtoto huyu ni nzao wa baba yake kwa sura na tabia.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.