Maana 1
Neno linalotumika kumaanisha watu wote katika kundi linalozungumziwa bila kubakiza hata mmoja.
Mfano wa matumizi: Walimu waliwaambia nyote mje kesho asubuhi.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.