nyonyoa

0

1. Ondoa manyoya katika mwili wa mnyama.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mpishi alinyonyoa kuku kabla ya kumpika.

2. Mtukane mtu kwa maneno yanayomwudhi.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Shahidi alisema kuwa alinyonyolewa kwa maneno ya kuudhi.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →