nyegereshana

Kuchocheana au kuhamasishana kati ya watu wawili au zaidi ili kutenda tendo la ndoa.

Ni kitendo cha watu kuchocheana kimahaba hadi kutenda tendo la ndoa.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiambishi awali ‘nye-’ + mzizi ‘gere’ + kiambishi awali ‘sh-’ + kiambishi tamati ‘-ana’ (kitenzi kianzionyegere’, maana kuchochea au kufanya tendo la ndoa)