noga

0

1. Kuwa na ladha nzuri, hasa chakula kilichokolezwa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mchuzi ulinoga kwa viungo.

2. Kuwa na mvuto na shamrashamra zinazofurahisha.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mchezo ulinoga kipindi cha pili.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →