Kwa namna ya kumdharau anayezungumziwa.
Kielezi
Mfano wa matumizi
“Hata wewe nobe unataka kubishana nami?” alisema kwa dharau.
Dismissively; expression conveying contempt for the person addressed.
Kielezi
Example
“Even you want to argue with me?” he said contemptuously.
Avec mépris; expression rabaissant la personne visée.
Kielezi
Exemple
« Même toi, tu veux discuter avec moi ? » a-t-il dit avec mépris.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi