Maana 1
Mti, chuma, au kitu kingine kinachowekwa wima ili kutegemeza jengo, daraja, au kitu kingine.
Mfano wa matumizi: Nguzo za nyumba hii zimejengwa kwa saruji imara.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.