ngurumo

0

1. Mtutumo wa radi unaosikika angani.

Nomino
Mfano wa matumizi Ngurumo ilisikika kabla ya mvua kuanza.

2. Sauti nzito kubwa inayotolewa na mnyama.

Nomino
Mfano wa matumizi Ngurumo ya simba iliwashtua wasafiri.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →