ngauti

Nanga ndogo ya chuma inayotumiwa kutia mashua au ngalawa mahali pamoja ili isisogee.

Chombo kidogo cha chuma kinachotumika kuzuia mashua au ngalawa isitembee baharini.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili