Kuwa na mwili mpana na uliojaa zaidi.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Ng'ombe walinenepa baada ya kupata malisho mazuri.
Gain body bulk; become stouter or fatter.
Kitenzi
Example
The cattle gained weight after receiving good pasture.
Grossir; devenir plus corpulent.
Kitenzi
Exemple
Les bovins ont grossi après avoir eu de bons pâturages.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi