Kuosha sehemu za mwili, hasa mikono, uso au miguu.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Watoto walinawa mikono kabla ya kula.
Wash oneself; clean parts of the body, especially hands, face or feet.
Kitenzi
Example
The children washed their hands before eating.
Se laver; nettoyer certaines parties du corps, surtout les mains, le visage ou les pieds.
Kitenzi
Exemple
Les enfants se sont lavé les mains avant de manger.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi