mzinduzi

0

1. Mtu anayewatanabahisha wengine walioduwaa.

Nomino
Mfano wa matumizi Mzinduzi aliwaita wenzake waliokuwa wameduwaa.

2. Mtu anayefungua au kuanzisha jambo kwa mara ya kwanza.

Nomino
Mfano wa matumizi Mzinduzi wa maktaba alikata utepe.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →