1. Mahali pa tambiko panapoaminiwa kukaa roho za wazee waliofariki.
Nomino2. Pango au mti mkubwa unaoaminiwa kuwa makao ya pepo wa eneo.
Nomino3. Taswira ya mtu aliyekufa zamani anayeonekana ndotoni.
Nomino4. Udongo mweupe wa kuwapaka watoto wa jandoni.
Nomino1. Ancestral shrine; ritual place believed to house deceased elders' spirits.
Nomino2. Spirit dwelling; cave or large tree believed to house local spirits.
Nomino3. Dream apparition; image of a deceased person appearing in a dream.
Nomino4. White initiation clay; white earth applied to initiates.
Nomino1. Sanctuaire ancestral; lieu rituel censé abriter les esprits des anciens défunts.
Nomino2. Demeure d'esprits; grotte ou grand arbre censé abriter des esprits locaux.
Nomino3. Apparition en rêve; image d'un défunt qui apparaît dans un songe.
Nomino4. Argile blanche d'initiation; terre blanche appliquée aux initiés.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi