Mwezi wa kipindi cha takriban siku ya kumi na moja hadi ya ishirini tangu kuandama.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwezi mchimbu uliangaza njia waliyokuwa wakipita.
Mid-cycle Moon; Moon roughly eleven to twenty days after the first crescent.
Nomino
Example
The mid-cycle Moon lit the path they were taking.
Lune du milieu du cycle; Lune située approximativement du onzième au vingtième jour après le premier croissant.
Nomino
Exemple
La Lune du milieu du cycle éclairait le chemin qu'ils empruntaient.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi