Mwezi unaoonekana kwa mara ya kwanza ukiwa hilali nyembamba.
Nomino
Mfano wa matumizi
Tuliona mwezi kongo juu ya upeo wa magharibi.
Young crescent Moon; first thin crescent visible after the new Moon.
Nomino
Example
We saw the young crescent Moon above the western horizon.
Jeune croissant de Lune; premier fin croissant visible après la nouvelle lune.
Nomino
Exemple
Nous avons vu le jeune croissant de Lune au-dessus de l'horizon ouest.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi