1. Eneo lenye unyevunyevu mwingi ambako huota miyaa na hupandwa mayugwa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mayugwa yalistawi kwenye mwera uliokuwa bondeni.
2. Kuku jike aliyekomaa kiasi cha kuweza kutaga.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwera alianza kutaga wiki hiyo.
1. Wet ground; damp area where palms grow and taro is cultivated.
Nomino
Example
The taro thrived on the damp ground in the valley.
2. Laying-age hen; female chicken mature enough to lay eggs.
Nomino
Example
The young hen began laying that week.
1. Terrain humide; endroit où poussent des palmiers et où l'on cultive le taro.
Nomino
Exemple
Le taro prospérait sur le terrain humide de la vallée.
2. Poule en âge de pondre; femelle ayant atteint la maturité pour la ponte.
Nomino
Exemple
La poule a commencé à pondre cette semaine-là.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi