1. Kuwa na habari au uelewa wa jambo.
Nomino2. Usumbufu unaomfanya mtu aone kero.
Nomino3. Boriti inayowekwa chini ili kusaidia chombo cha majini kushushwa baharini.
Nomino4. Mbao au miti ya kutenga mizigo na maji ndani ya chombo.
Nomino1. Awareness; knowledge of a matter.
Nomino2. Annoyance; troublesome or irritating disturbance.
Nomino3. Launching timber; beam laid beneath a vessel being moved into the sea.
Nomino4. Dunnage; timbers placed beneath cargo to keep it dry.
Nomino1. Connaissance; fait d'être informé d'une question.
Nomino2. Désagrément; dérangement irritant.
Nomino3. Madrier de lancement; pièce de bois placée sous un bateau pour sa mise à l'eau.
Nomino4. Fardage; bois placé sous une cargaison pour la protéger de l'eau.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi