mwanzi

0

1. Mmea mrefu wenye pingili na shina lenye uwazi ndani.

Nomino
Mfano wa matumizi Walitumia mwanzi kupitishia maji hadi bustanini.

2. Kitu kirefu chembamba chenye uwazi ndani kama bomba.

Nomino
Mfano wa matumizi Alipuliza hewa kupitia mwanzi wa chuma.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →