muswada

0

1. Maandishi yaliyotayarishwa ili baadaye yachapishwe kuwa kitabu.

Nomino
Mfano wa matumizi Muswada wa kitabu ulipitiwa na mhariri.

2. Maandishi yanayowasilishwa bungeni ili yajadiliwe na kupitishwa kuwa sheria.

Nomino
Mfano wa matumizi Muswada ulijadiliwa bungeni.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →