1. Mkuki mdogo wa meno matatu wa kuvulia samaki.
Nomino2. Ubao wa ndani ya jahazi unaotenganisha mataruma na mbao nyingine.
Nomino3. Nguzo ndogo ya pembeni inayotumiwa wakati wa kuunda chombo cha majini.
Nomino4. Kutumia mguu kumtega mpinzani katika miereka.
Nomino1. Three-pronged fishing spear; small spear used to catch fish.
Nomino2. Internal spacer board; plank separating crossbeams from other timbers in a dhow.
Nomino3. Small boatbuilding side post; upright fitted beside a vessel during construction.
Nomino4. Wrestling trip; use of the leg to unbalance an opponent.
Nomino1. Trident de pêche; petite lance à trois pointes servant à prendre des poissons.
Nomino2. Planche d'écartement interne; pièce séparant les traverses des autres bois d'un boutre.
Nomino3. Petit montant latéral de construction navale; poteau posé sur le côté d'une embarcation en chantier.
Nomino4. Croche-pied de lutte; usage de la jambe pour déséquilibrer un adversaire.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi