Vazi la kazi linalovaliwa juu ya mengine ili kuzuia uchafu.
Nomino
Mfano wa matumizi
Fundi alivaa msurupwenye kabla ya kazi.
Protective work garment; outer clothing worn to keep other clothes clean.
Nomino
Example
The worker put on protective clothing before work.
Vêtement de protection; tenue portée par-dessus les autres habits pour les préserver des salissures.
Nomino
Exemple
L'artisan a mis son vêtement de protection avant de travailler.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi