mstari

0

1. Alama ndefu iliyonyooka inayochorwa kwenye kitu.

Nomino
Mfano wa matumizi Mwanafunzi alichora mstari kwa rula.

2. Mfuatano wa watu au vitu mmoja baada ya mwingine.

Nomino
Mfano wa matumizi Abiria walisimama katika mstari.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →