msongano

0

1. Hali ya watu wengi kubanana mahali pamoja.

Nomino
Mfano wa matumizi Msongano ulitokea mlangoni.

2. Kukaa kwa wanawake wengi pamoja wakisukana nywele.

Nomino
Mfano wa matumizi Msongano wa kusukana ulifanyika uani.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →