msiri

0

1. Mtu anayeaminika kutunza siri.

Nomino
Mfano wa matumizi Msiri hakufichua alichoambiwa.

2. Rafiki wa karibu.

Nomino
Mfano wa matumizi Msiri wa Amina alimtembelea.

3. Mtu anayefanya kazi kwa utepevu na mwendo wa polepole.

Nomino
Mfano wa matumizi Msiri alichelewesha kazi aliyopewa.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →