1. Mtazamo anaoushikilia mtu kuhusu jambo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Msimamo wa Rehema ulieleweka vizuri.
2. Hali au namna ya kusimama.
Nomino
Mfano wa matumizi
Msimamo wake ulionyesha kuwa alikuwa tayari.
1. Position; view held by a person on an issue.
Nomino
Example
Rehema's position was clearly understood.
2. Standing posture; state or manner of standing.
Nomino
Example
His standing posture showed that he was ready.
1. Position; point de vue défendu par une personne sur une question.
Nomino
Exemple
La position de Rehema a été bien comprise.
2. Posture debout; état ou manière de se tenir debout.
Nomino
Exemple
Sa posture debout montrait qu'il était prêt.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi