msichana

0

1. Mtoto wa jinsia ya kike.

Nomino
Mfano wa matumizi Msichana alisoma kitabu maktabani.

2. Mwanamke kijana ambaye hajaolewa wala kuzaa.

Nomino
Mfano wa matumizi Msichana huyo alijiunga na chuo mjini Mbale.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →