1. Kundi la watu au wanyama wanaosafiri pamoja.
Nomino
Mfano wa matumizi
Msafara uliwasili Tabora jioni.
2. Safari inayofanywa kuelekea mahali fulani.
Nomino
Mfano wa matumizi
Msafara wetu ulianza alfajiri.
1. Caravan; group of people or animals travelling together.
Nomino
Example
The caravan reached Tabora in the evening.
2. Journey; act of travelling from one place to another.
Nomino
Example
Our journey began at dawn.
1. Caravane; groupe de personnes ou d'animaux voyageant ensemble.
Nomino
Exemple
La caravane est arrivée à Tabora le soir.
2. Voyage; déplacement d'un lieu à un autre.
Nomino
Exemple
Notre voyage a commencé à l'aube.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi