motomoto

0

1. Yenye joto ambalo bado halijapoa.

Kivumishi
Mfano wa matumizi Chapati zilikuwa motomoto.

2. Yenye kuleta msisimko mkubwa.

Kivumishi
Mfano wa matumizi Habari motomoto zilisomwa gazetini.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →