Udongo au mchanga wenye punje kubwa za kujengea.
Nomino
Mfano wa matumizi
Moramu ilitandazwa barabarani.
Murram; gravelly earth used in road and building work.
Nomino
Example
Murram was spread on the road.
Grave latéritique; terre caillouteuse utilisée dans la construction.
Nomino
Exemple
La grave latéritique a été étalée sur la route.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi