Mega sehemu ndogo kutoka kitu kilichoshikamana.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Alimong'onyoa mkate kidogokidogo.
Crumble or break off; detach pieces from a cohesive mass.
Kitenzi
Example
She broke the bread into small pieces.
Émietter; détacher des morceaux d'une masse cohérente.
Kitenzi
Exemple
Elle a émietté le pain peu à peu.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi