Maana 1
Mtu mwenye tabia ya uadilifu, ukweli, na asiye na hila wala udanganyifu.
Mfano wa matumizi: Mnyofu hasemi uongo hata katika hali ngumu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.