mkupuo

Hali au kitendo cha kutoa au kupokea vitu vingi kwa wakati mmoja au kwa pamoja badala ya kidogo kidogo.

Ni utoaji au upokeaji wa vitu vingi kwa pamoja kwa wakati mmoja.

Maana

2 jumla

Visawe

2 jumla
mfululizomkusanyiko

Asili ya neno

Kiswahili