Mkanda mpana wa kiunoni wa kuhifadhia fedha.
Nomino
Mfano wa matumizi
Alihifadhi fedha za safari katika mkowa.
Money belt; broad waist belt with space for carrying money.
Nomino
Example
She kept the travel money in a money belt.
Ceinture porte-billets; ceinture large comportant un espace pour l'argent.
Nomino
Exemple
Elle a gardé l'argent du voyage dans une ceinture porte-billets.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi