mkenge

Njia au mbinu inayotumiwa kumdanganya mtu ili apate hasara au apoteze kitu chake.

Njia ya udanganyifu au mtego wa kumdhuru mtu.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
ujanja

Vinyume

2 jumla
uaminifuukweli