Mkeka wa kawaida usiopambwa kwa nakshi.
Nomino
Mfano wa matumizi
Walitandika mkeka wa mfuto ndani ya chumba.
Plain mat; ordinary woven mat without decoration.
Nomino
Example
They spread a plain mat in the room.
Natte unie; natte ordinaire dépourvue de décoration.
Nomino
Exemple
Ils ont étalé une natte unie dans la pièce.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi