Mpango wa makini wa kufanikisha jambo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wakulima wa Gitega waliandaa mkakati wa kuuza mazao.
Strategy; carefully planned method for achieving an objective.
Nomino
Example
The farmers in Gitega prepared a strategy for selling their produce.
Stratégie; méthode soigneusement préparée pour atteindre un objectif.
Nomino
Exemple
Les agriculteurs de Gitega ont préparé une stratégie de vente de leurs récoltes.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi