Maswali ya kupima uelewa wa mwanafunzi katika mada alizosoma.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwalimu alitoa mjarabu kuhusu mada mbili zilizopita.
Class test; questions used during a term to assess understanding.
Nomino
Example
The teacher gave a class test on the previous two topics.
Contrôle en classe; questions données pendant le trimestre pour évaluer les connaissances.
Nomino
Exemple
L'enseignant a donné un contrôle sur les deux derniers sujets.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi